Mapacha Lyrics & Tabs by Sauti Sol

Mapacha

guitar chords lyrics

Sauti Sol

Album : Mwanzo kenya PlayStop

mapacha hawatenganishwi kalmu nami muandishi muandishi,
usinilenge mi malanga aa,
sina mengi mimi nina shairi mashairioooh wajua nakupendaaa, wajua nakulinda musichana wa afrika

wajua nakupendaaa, wajua nakulinda we kidosho wa afrika
we uje nizalie musichana
nami nikupe wewe kijana
penzi linawiri nakamwe tusilisalitiii
sina mengi mm nina shairi mashairi wwoouuuu! wo wo woouuux2
ooooh ni wewe tuu, ni wewe napeeendaa niwewe wewe
ni wewe nataka
africa nzima yakutamani ni weweee ni wewe wewe wewe wewe wewe eeee

Like us on Facebook.....
-> Loading Time :0.0064 sec