Save Us Lyrics & Tabs by Khadja Nin

Save Us

guitar chords lyrics

Khadja Nin

Album : Sambolera african PlayStop

Usijidanganye yo mawe
Njiya ile siyo njiya yeto
Ba politike ba sasa ba for myself

Batamaliza bantu
Kila umija mama
Anataka tu modele ya ulaya
Ju modele ya kwetu ya zamani sana
Hatutake kuyijuwa
Ndugu kama juzi
Tukamatane mukono tu save us
Watoto wa Afrika
Tukamatane mukono tu save us
Afrika waca liya
Afrika yetu yoma
Inaliya macozi mama

Afrika waca liya
Afrika yetu yoma
Inaliya macozi mama
Ju modele toka mbali ya pisha nijitiye
Inaconganisha bantu
Wazehe wa kwetu yo maweye
Wanasema na masemo yao
Que tukamatane mukono na busayidiyane
Ju ni desturi yetu
Ndugo kama juzi

More tracks of "Khadja Nin"

Like us on Facebook.....
-> Loading Time :0.0189 sec