Mwana Wa Mama Lyrics & Tabs by Khadja Nin

Mwana Wa Mama

guitar chords lyrics

Khadja Nin

Album : Sambolera african PlayStop

We mwana wa mama
Tunapata haya
Mbele ya duniya wandugu

Kweli tumetubiya
Ju tumerudi ku uwana tena wandugu
Tabu ule utamwambiya nini?
Damu ya wake umemwanga bule
Waca liya
Usiwa ace vile
Uwambiye
Wambiye inchi ni ya siye wote
Mungu akijaliya
Mbele yo duniya
Tutapata namna wandugu
Ata ukiumiya

Mbele yo duniya
Tutapata namna wandugu
Ata ukiumiya
Jaribu tena ju fitina hayisayidiye
Tabu ule utamwambiya nini?
Ju ni damu ya wake umemwanga bule

Like us on Facebook.....
-> Loading Time :0.0131 sec