Heri Siku Moja Lyrics & Tabs by Reuben Kigame

Heri Siku Moja

guitar chords lyrics

Reuben Kigame

Album : TuliaPlayStop

Ewe Mungu wa majeshi, ninapenda kukaa nawe,
maskani zako zapendeza, nazikondea kwa shauku kubwa.
Heri siku moja mbele zako, kuliko siku elfu mbali na wewe

Ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima.
Moyo na mwili wangu Bwana viakulilia Mungu wangu, heri nikose viote Baba, lakini nikupate wewe
Heri siku moja mbele zako, kuliko siku elfu mbali na wewe
Ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima.
Heri siku moja mbele zako, kuliko siku elfu mbali na wewe
Ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima.

More tracks of "Reuben Kigame"

Like us on Facebook.....
-> Loading Time :0.0054 sec