Lala Salama Lyrics & Tabs by Willy Paul

Lala Salama

guitar chords lyrics

Willy Paul

Album : MpenziPlayStop

Willy Willy, uu Willy Paul Yoyoo Yoyoo Yoyoo Ooh
Tumba Tumba Tumba Tumba Eeeh x2
Richie Bitz

Kama Ni Kachumbari, Ooh Tulikula Lala
Kama Ni Katurungi, Ooh Tulikunywa Lala
Kama Ni Kauji, Ooh Tulikula Lala
Hata Kapepsi No, Ooh Tulikosa Sana
Zaidi Ya Maji, Ooh Nasiutani Rafiki Rafiki
Ooh Nasiutani Rafiki Rafiki,
Ooh Nasiutani
Oooh Oooh Oooh Oooh
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Salama Salama Salama
Salama

Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Salama Salama Salama
Salama
Salama Salama Salama
Salama
Oh Tangu Uondoke
Mama Amekuwa Akiteseka Sana
Na Magonjwa Kwa Kupigwa Kwa Kurushwa Nanana
Kwa Kupigwa Kwa Kukandwa Kwa Kurushwa Aaaa
Bado Jalali Ametulinda, Akutuacha Tuangamie
Bado Mwenyezi Ametulinda, Akutuacha Tuangamie
Kabla Uondoke Ulitambua Kanilikua Msanii
Nikafanya Rabuka, Nikafanya NiSitolia, Nikafanya
NiMpenzi
Na Sasa You Never Know
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Salama Salama Salama
Salama
Salama Salama Salama
Salama
Majirani Wakuulizia Msela ulienda Wapi
Wateja Wauulizia Fundi Alienda Wapi
Watoto Wauulizia Jamani Ulienda Wapi
Watoto Wauulizia Baba Willy Alienda Wapi
Inabidi Niwadanganye, Eeh Baba Ako Ofisini
Inabidi Niwadanganye, Baba Ameitwa Kazi
Ooh Inaniuma Ooh Inaniuma Ooh Inaniuma Aaah
Moyoni Inachoma Moyoni Inachoma Moyoni
Inachoma Aah
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Salama Salama Salama
Salama
Salama Salama Salama
Salama
Bridge
Jalali Akulinde Akuweke Pema Peponi x2
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Salama Salama Salama
Salama
Salama Salama Salama
Salama
Eeeeeh Oooooh Eeeeeh Ooooh
Salama Salama Salama
Salama
Salama Salama Salama

More tracks of "Willy Paul"

Like us on Facebook.....
-> Loading Time :0.0050 sec