Tubonge Lyrics & Tabs by Jose Chameleone

Tubonge

guitar chords lyrics

Jose Chameleone

Album : TubongePlayStop

Tubonge, Chameleone naomba
tubonge,
Mungu Baaba, We long ye'

Gospel time now... ooh Lord.
Nina wewe wa kweli,
Katika wote ninae ni wewe,
Anae nipenda kamili,
Bila kipimo unanipenda hakuna kiasi,
Ningetaka nikuone nikupe,
Vyote vyangu, nikupe chochote,
Unachotaka chochote upate,
Lakini sina namna ya ku kupata,
Ungekua na faasi una ishi,
Ata ingekua mbali vipi,
Ningekuja nikuone wewe,

Ungekua na faasi una ishi,
Ata ingekua mbali vipi,
Ningekuja nikuone wewe,
Ungekua na nambari ya simu,
Hata sura yo uli ificha!
Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana,
Njo... I don't know what to do, to do,
Am waiting for you
Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana,
Njo... Rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli.
Huu rafiki yangu nimempa sasa tuzo,
Ana siri zangu nyingi siogopi mateso,
Hao wabishi hawanitishi na mawazo,
Ninae, Ninae...
Mlinzi wangu sasa mi sitaki fujo,
Nikiwa nae siogopi vya devil,
Paddy man ongeza bass na treble,
Nimtaje kama ninaimba tangazo,
Ungekua na faasi una ishi,
Ata ingekua mbali vipi,
Ningekuja nikuone wewe,
Ungekua na nambari ya simu,
Hata sura yo uli ificha!
Tubonge, Chameleone naomba
tubonge,
Mungu Baaba, We long ye'
Gospel time now... ooh Lord
Njo nikupe cho chote unataka,
Hatuja kutana mi nakufuata,
Njo nikukaribishe kwangu,
Njo nikupikie chakula tamu,
Naomba nikuonyeshe na watoto wangu,
Njo nikuonyeshe baba na mama wangu,
Nikuonyeshe marafiki zangu,
Nami, na moyo wangu,
Ungekua na faasi una ishi,
Ata ingekua mbali vipi,
Ningekuja nikuone wewe,
Ungekua na nambari ya simu,
Hata sura yo uli ificha!

More tracks of "Jose Chameleone"

Like us on Facebook.....
-> Loading Time :0.0063 sec