Like An Angel Lyrics & Tabs by Khadja Nin

Like An Angel

guitar chords lyrics

Khadja Nin

Album : Ya... world PlayStop

analiya disiwe
mume wake
ajali haina kinga

wala kafara
anaenda kijana
maladi inamushinda
ana aca bibi
na mutoto mudogo
mwanaume
analala kimya
like an angel
mbele ya kufunga maco
alimwambiya:
"bibi yangu unisamehe
ju sina mali

alimwambiya:
"bibi yangu unisamehe
ju sina mali
ya kukuaciya
mungu akulinde
like an angel"
mawa ju kijana ule
anaenda huruma
mawa oh! maliyo!
sheria ya mungu mama
hayijulikane
ajali haina kinga
wala kafara:
"kwaheli
mpenzi wangu
wende salama
lala... like an angel
like an angel"

Like us on Facebook.....
-> Loading Time :0.0103 sec