Jambo Bwana Lyrics & Tabs by Safari Sound Band

Jambo Bwana

guitar chords lyrics

Safari Sound Band

Album : Kenya National Anthem and Patriotic Songs kenya PlayStop

Jambo, Jambo bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.

Wageni, Wakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.
Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.
Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
Watu wote,
Hakuna Matata,

Hakuna Matata.
Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata. (till end)

More tracks of "Safari Sound Band"

Like us on Facebook.....
-> Loading Time :0.0119 sec