Embargo Lyrics & Tabs by Khadja Nin

Embargo

guitar chords lyrics

Khadja Nin

Album : Ya... world PlayStop

leo nasaili
ju mimi sikuelewa mambo yale
unasema embargo

ni njiya ya kuleta amani kwangu
kwa vile naona
ni watu wanahangayika bure
unisamehe sana
ju mimi sione uzuri wake
bwana mukubwa
uje inazimiya
watu wanakufa na njala
wanatesera
inci inazimiya
inakosa dawa na cakula
ni amani gani

inci inazimiya
inakosa dawa na cakula
ni amani gani
inaleta njala na maladi
bwana mukubwa
uje inazimiya
watu wanakufa na njala
wanatesera

More tracks of "Khadja Nin"

Like us on Facebook.....
-> Loading Time :0.0089 sec